Saturday, April 25, 2009

Kikwazo ni nini hasa?

Wadau ninaomba kuwakilisha mada ifuatayo, ambayo ningehitaji majibu toka kwenu. Ujasiria mali unaathiriwa vipi na kodi za nchi yetu? Je serikali ifanye juhudi gani kutusaidia sisi wananchi hasa wa kipato cha chini?
Pia naomba nigusie suala la kodi kwa wafanyakazi
Mfanyakazi hasa wale wnaofanya sekta binafsi pindi wapatapo ka bonasi (sijui neno rasmi la kiswahili) basi serikali huchukua asilimia 30 ya hela yake je ni haki kwa serikali kuvuna kiasi chote hicho huku ikiwa haitoi huduma kwa jamii inavyostahili?

1 comment:

Anonymous said...

boresha vionjo, ikiwezekana tengeneza website yako kisha ui embed kwenye blog hii,lakini wakaribishwa!