Wednesday, May 20, 2009



Fahari yetu hii tunaitumiaje ili kujiletea maendeleo Watanzania maana kombe la dunia limekaribia je tunaweza kufaidika vipi na ujio wa wageni wengi kusini mwa Africa ili waweze kupotea njia na kuja Bongo hapa kujionea wenyewe uzuri wa nchi yetu

1 comment:

Anonymous said...

picha zako nzuri kama hizi!